Monday, April 25, 2011

Leteni zaka kamili .....

Umati mkubwa wa Washirika wa EAG(T)-Mito ya Baraka wakiwa wamesimama mbele ya Madhabahu huku wameshika bahasha zenye matoleo ya Zaka Kamili wakisubiri kupokea Maombi kabla ya kumtolea Bwana matoleo hayo.

No comments:

Post a Comment