Sunday, August 21, 2011
Wednesday, April 27, 2011
JERUSALEM CHOIR NDANI YA MOROGORO SIKU YA JUMATATU YA PASAKA:
Hapa wakiwa katika moja ya step za Wimbo Mkali na Maarufu unaojulikana kwa jina la "Kesho ni Yako"
Hapa ni baadhi ya Wanakwaya wakiwa katika pozi !!
Monday, April 25, 2011
Leteni zaka kamili .....
Umati mkubwa wa Washirika wa EAG(T)-Mito ya Baraka wakiwa wamesimama mbele ya Madhabahu huku wameshika bahasha zenye matoleo ya Zaka Kamili wakisubiri kupokea Maombi kabla ya kumtolea Bwana matoleo hayo.
Thursday, April 7, 2011
"njoo uombeweee......"
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini na Mshindi wa tuzo ya Mwanamziki Bora wa Kiume (Tanzania Gospel Music Awards 2011) Bonny Mwaitege aki pafomu laivu hapa kanisani, Jumapili tarehe 03-04-2011
Subscribe to:
Posts (Atom)